University of Kabianga Repository

Si t̪end̪i zot̪ʰe za kabla ya karne ya ishirini ni utambaji wa kingano nyengine ni ufunzaji: Kiyelelezo cha ut̪end̪i wa siri li asrari

Show simple item record

dc.contributor.author Karama, Mohamed
dc.contributor.author Chimerah, Rocha
dc.contributor.author Mutiso, Kineene
dc.date.accessioned 2022-02-01T08:15:36Z
dc.date.available 2022-02-01T08:15:36Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.citation Karama, M., Chimerah, R., & Mutiso, K. (2021). Si T̪end̪i zot̪ʰe za Kabla ya Karne ya Ishirini ni Utambaji wa Kingano Nyengine ni Ufunzaji: Kiyelelezo cha Ut̪end̪i wa Siri li Asrari. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 3(1), 51-57. en_US
dc.identifier.uri : https://doi.org/10.37284/eajss.3.1.349
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/301
dc.description East African journal of Swahili studies en_US
dc.description.abstract Fikra iliyomo katika mawand̪a ya fasihi ya Kiswahili ni kuwa ut̪end̪i ni maelezo marefu ya mapisi ya jamii kiushairi. Makala haya yanat̪aka kuonesha kwamba si t̪end̪i zot̪ʰe zenye madhumuni haya. Kupitiya Ut̪end̪i wa Siri li Asrari tut̪aonesha kwamba mtʰunzi Mwanalemba alikuwa na niya t̪angu mwanzo ya kuweka d̪arasa kuhusu hirizi ya majina ya Mwenyezi Mungu. D̪arasa hii ameigawanya kama namna t̪aasisi za kielimu zinavopendekeza ienreshwe kiskuli na ameyat̪owa mawazo yake kit̪aalamu. Nadhariya ya Usemezano kupitiya dhana ya Unrimi imetusaidiya kuuwangaziya ut̪end̪i huu na tumefaidika na vigezo va: maudhui, ut̪euzi wa misamiat̪i na mitinro ya uwasilishaji, na mukt̪adha wa matʰumizi ya maneno hayo kama njiya ya kutambuwa aina ya lugha inayotʰumika. Kwa kwangaziya mitinro ya uwasilishaji katika d̪arasa ya hirizi tumepata kujuwa kwamba mtʰunzi alikuwa na dhamira ya kutufunza badala ya kutamba hadithi ya kingano. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jarida la Afrika mashariki la masomo ya Kiswahili en_US
dc.subject Siri li asrari en_US
dc.subject Utendi en_US
dc.subject Darasa en_US
dc.subject Hirizi en_US
dc.subject Islam en_US
dc.title Si t̪end̪i zot̪ʰe za kabla ya karne ya ishirini ni utambaji wa kingano nyengine ni ufunzaji: Kiyelelezo cha ut̪end̪i wa siri li asrari en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account