dc.contributor.author |
Karama, Mohameḍ |
|
dc.date.accessioned |
2023-06-15T07:48:19Z |
|
dc.date.available |
2023-06-15T07:48:19Z |
|
dc.date.issued |
2023 |
|
dc.identifier.citation |
Karama, M. (2023). Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano. |
en_US |
dc.identifier.issn |
2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
: https://doi.org/10.37284/2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/593 |
|
dc.description |
Jarida la Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa
katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano |
en_US |
dc.description.abstract |
Katika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno
kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇ a mumewe, ni
ule wa Ṁanakupona. K̇ a mara ya k̇ anza, makala haya yanaangaziya
uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇ a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na
majukumu ya mume k̇ a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa
(Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana
wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya
yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha
aliyonayo mtunzi k̇ a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa.
Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano
yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa:
k̇ enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke
yao bali na jamii k̇ a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila
kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na
ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa
huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi
aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya
watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika
kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume
amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇
idhibiṭi nrowa. Naṭija
ilopatikana k̇ a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika
ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇ a k̇ angaziwa sana Ṁanakupona na
kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa
kiyume. |
en_US |
dc.language.iso |
other |
en_US |
dc.publisher |
East African Journal of Swahili Studies |
en_US |
dc.subject |
Ufupisho wa Ramanime |
en_US |
dc.subject |
Masemezano |
en_US |
dc.subject |
Ujamaa |
en_US |
dc.subject |
Taharuki |
en_US |
dc.subject |
Mjadala.. |
en_US |
dc.title |
Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |