University of Kabianga Repository

Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto

Show simple item record

dc.contributor.author Matin, Ibrahim
dc.contributor.author Kisurulia, Simiyu
dc.date.accessioned 2022-11-21T08:01:03Z
dc.date.available 2022-11-21T08:01:03Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.citation Matin, I., & Kisurulia, S. (2021). Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 3(1), 58-69. en_US
dc.identifier.issn 2707-3475
dc.identifier.uri https://doi.org/10.37284/2707-3475
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/430
dc.description Jarida la Afrika Mashariki la Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto en_US
dc.description.abstract Makala haya yalichunguza jinsi wasanii wa vitabu vya fasihi ya watoto wamefuma tashbihikatika kazi zao ili kueleza maudhui yanayowalenga watoto kwa kuongozwa na nadharia ya umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure (1916). Kupitia kwa njia ya kiupekuzi na uchanganuzi matini, vitabu vya Kisasi Hapana, Nimefufuka, Sitaki Iwe Siri, na Wema wa Mwanaviliteuliwa kimakusudi, vikasomwa na kuchanganuliwa. Tashbihi mbalimbali na maudhui ya familia, elimu, nidhamu, bidii, ugonjwa na kifo yalitambuliwa na kujadiliwa kwa undani. Uhusiano kati ya tashbihi na maudhui hayo ulidhihirishwa. Matokeo ya jinsi tashbihi zinavyofanikisha kueleza maudhui yaliwasilishwa kithamano. Utafiti huu umeonyesha tashbihi na maudhui katika kazi tulizohakiki na pia unachochea washikadau katika uwanda wa fasihi ya watoto kuhakiki kazi za watoto kablakuwateulia kuzisoma. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili en_US
dc.subject Fasihi Ya Watoto en_US
dc.subject Nafasi en_US
dc.subject Tashbihi en_US
dc.subject Kufanikisha en_US
dc.subject Maudhui en_US
dc.title Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account