University of Kabianga Repository

Ushairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadi

Show simple item record

dc.contributor.author Karama, Mohamed
dc.contributor.author Mwamzandi, Issa
dc.date.accessioned 2022-10-06T07:32:32Z
dc.date.available 2022-10-06T07:32:32Z
dc.date.issued 2019-04-10
dc.identifier.citation Karama, M., & Mwamzandi, I. (2019). Ushairi wa Kezilahabi ni Ushairi wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi wa Umbo la Shairi la Wanajadi. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 1(1), 7-12. en_US
dc.identifier.issn 1476-4687
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/421
dc.description Makala Ya Ushairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadi en_US
dc.description.abstract Makala haya yanakariri hoja kwamba ushairi wa Wagunduzi ni ushairi wa Wanajadi. Mapitiyo yetu ya maandishi yanayozungumziya ushairi wa Kiswahili yameonesha kwamba kuna makundi mawili: Wanajadi, akiwamo Sheikh Nabhany, na Wagunduzi, akiwamo Kezilahabi. Yaliyoandikwa yanaonesha kuwa mgogoro ulizuka kutokana na wanajadi kudai kuwa ushairi wa wagunduzi si wa Kiswahili kwa sababu haufwati urari wa vina na mizani na hivo umbo lake ni tafauti na la mashairi ya Kiswahili. Fauka ya hayo, wachanganuzi wa mashairi ya Kiswahili wana maoni kwamba mashairi ya Kezilahabi ni aina mpya ya mashairi ya Kiswahili. Lengo la makala haya ni kugeuza mwendelezo wa fikira hii. Lengo hili limefikiwa kwa kutumiya uainishaji wa mashairi ya Kiswahili uliyotolewa na Mwanajadi Nabhany kwamba umbo la shairi linatokana na mpangiliyo maalumu wa sauti. Kwa kuchanganuwa umbo la shairi moja la Kezilahabi kupitiya kigezo cha bahari ya utumbuizo, ambayo Nabhany ameiorodhesha kuwa bahari mojawapo ya mashairi ya kijadi ya Kiswahili, tumeona kwamba ushairi wa Kezilahabi una sifa zote, ama karibu zote, za bahari hiyo. Kwa sababu hiyo, tunahitimisha kuwa ushairi wa Kezilahabi ni ushairi wa Wanajadi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili en_US
dc.relation.ispartofseries ;Volume 4, Issue 1, 2019
dc.subject Ushairi en_US
dc.subject Kezilahabi en_US
dc.subject Nabhany en_US
dc.subject Uchanganuzi en_US
dc.subject Wanajadi en_US
dc.title Ushairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account