dc.contributor.author |
Karama, Mohamed |
|
dc.date.accessioned |
2022-10-05T07:46:15Z |
|
dc.date.available |
2022-10-05T07:46:15Z |
|
dc.date.issued |
2022 |
|
dc.identifier.citation |
Karama, M. (2022). Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa Lahaja-Dadaze. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 5(1), 259-272 |
en_US |
dc.identifier.issn |
2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
: https://doi.org/10.37284/2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/420 |
|
dc.description |
Jarida la Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika
Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa
Lahaja-Dadaze |
en_US |
dc.description.abstract |
Lahaja za kiAmu, kiMvit̪a zafa, na lahaja nyenginezo za kiSwahili yasemekana
zishakufa. Makala haya yanaonesha kuwa usuli wa matatizo haya ni mapungufu
ya juhud̪i za kukisanifisha kiSwahili wakat̪i wa ukoloni. Vigezo va uwamilifu
wa kut̪afaut̪isha maana, na kiwango cha matumizi wa saut̪i hiyo katika lugha, ni
mambo yaliyopuuzwa na Kamati ya Lugha kwa sababu ya kut̪afut̪a unafuu wa
kusanifisha. Tukifuwatʰa nadhariya-tʰetʰe ya Kina cha Othografiya, saut̪i hizi
amilifu tumeziyonesha kuwa zachʰangiya katika kusoma maand̪ishi
yaliyoand̪ikwa kwa sababu kiSwahili ni lugha yenye othografiya ya maonroni,
yaani, kuna mnasaba wa moja kwa moja kati ya saut̪i na kiwakilishi chake kihati;
kitamkwavo nrivo kiyand̪ikwavo. Kwengezeya, mfumuko wa TEKNOHAMA
umeipa t̪ena, lugha ya kiSwahili, nafasi ya kufaid̪ika na saut̪i hizi kwa kutiya kila
kʰitʰu katika nukt̪̪
a ya kimahesabu hivo kurahisisha utambuzi wa saut̪i hizi na
urahisi wa kuzitumiya katika masomi ya shuleni na kwenye t̪afsiri mashine ya
makala ya kiSwahili. Ikawa nat̪ija ipatikanayo ni kukiokowa kiSanifu kut̪okana
na kuziokowa lahaja dada zake. Lakini zaid̪i, ni kupatikana ut̪angamano wa
lugha zot̪ʰe nchini Kenya na utambulisho muwafaka katika Jumuiya ya Afrika
Mashariki. |
en_US |
dc.language.iso |
other |
en_US |
dc.publisher |
Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili |
en_US |
dc.relation.ispartofseries |
;Volume 5, Issue 1, 2022 |
|
dc.subject |
KiSwahili, |
en_US |
dc.subject |
Fonolojiya, |
en_US |
dc.subject |
Usanifishaji, |
en_US |
dc.subject |
Othografiya, |
en_US |
dc.subject |
Teknolojiya, |
en_US |
dc.subject |
Jumuiya ya Afrika Mashariki |
en_US |
dc.title |
Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa Lahaja-Dadaze |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |