dc.contributor.author |
Karama, Mohamed |
|
dc.date.accessioned |
2022-09-27T09:32:08Z |
|
dc.date.available |
2022-09-27T09:32:08Z |
|
dc.date.issued |
2021 |
|
dc.identifier.citation |
Karama, M. (2021). Ni Mvit̪a ni Mvita?: Uchanganuzi wa Usuli wa Toponimi za Mitʰaa ya Mambasa, Kenya. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 3(1), 78-90. |
en_US |
dc.identifier.issn |
2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
https://doi.org/10.37284/2707-3475 |
|
dc.identifier.uri |
http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/415 |
|
dc.description |
Jarida la Uchanganuzi wa Usuli wa Toponimi za Mitʰaa ya
Mambasa, Kenya |
en_US |
dc.description.abstract |
Miji yot̪ʰe ulimwenguni imepawa majina ili kuitambulisha. Majina haya ni hazina
ya mapisi na ut̪amad̪uni kuwahusu wakaaji wa miji hiyo. Namna inavoitwa, fasiri
na fasili za majina hayo husema mengi kuhusu maana na nyusuli zake. Makala haya
yamechunguza toponimi ya baadhi ya mitʰaa ya mji wa Mambasa, Kenya.
Madhumuni yalikuwa ni kuchanganuwa nyusuli za majina kwa kubainisha t̪afaut̪i
za kimat̪amshi ya majina hayo, kuthibit̪isha kuwa t̪afaut̪i hizi zaleta t̪afaut̪i ya maana
ya majina, na kwamba toponimi za mitʰaa hiyo imeelemeya kwelezeya maumbile
ya mazingira ya mahali hapo jambo linaloshuhud̪iwa katika jamii nyengine za
Kibantu, Kenya. Tulitumiya T̪arat̪ibu za Ulinganisho na Toponimi Kina ili
kuchanganuliya data yetu. Data yetu tuliipata kwa kuwauliza wazee wa miyaka 50
na zaidi ambao wana maelezo simulizi kuhusu fasili za majina hayo na data ya upili.
Kwa kulinganisha na lugha za jamii zinazokaribiyana za Kimvit̪a, Kimijikenra,
Kipokomo na lugha za Kibantu kut̪oka bara Kenya tuliweza kung’amuwa kuwa
majina haya ya Mambasa yanashabihiyana na yale ya lugha nyengine hivo kutupa
ufunuwo mpya kuhusu maana za majina hayo. Tumepata kuwa ut̪amkaji wa majina
unaleta t̪afaut̪i ya maana na hivo usuli wao piya ni t̪afaut̪i na ilivozoweleka.
Tumepata kuwa majina ya kale yaliitwa kutegemeya maumbile ya mazingira na
majina ya mitʰaa ya kisasa yameelemeya zaidi vitu au majengo yaliyoko hapo.
Kupitiya makala haya tunaamini tumet̪owa fasili mpya kuhusu mitʰaa hii na hivo
kuwapa fikira nyengine wataalamu wa Chimbo, Ut̪alii na Isimu kuhusu majina haya
na historiya inayobebwa na majina haya. |
en_US |
dc.language.iso |
other |
en_US |
dc.publisher |
East African Journal of Swahili Studies |
en_US |
dc.subject |
Mambasa |
en_US |
dc.subject |
Mvita |
en_US |
dc.subject |
Toponimi |
en_US |
dc.subject |
Isimu |
en_US |
dc.subject |
Swahili |
en_US |
dc.subject |
Mombasa |
en_US |
dc.title |
Ni Mvit̪a ni Mvita?: Uchanganuzi wa Usuli wa Toponimi za Mitʰaa ya Mambasa, Kenya |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |