University of Kabianga Repository

Ushairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrari

Show simple item record

dc.contributor.author Karama, Mohamed
dc.contributor.author Chimerah, Rocha
dc.contributor.author Wa Mutiso, Kineene
dc.date.accessioned 2022-09-26T08:29:45Z
dc.date.available 2022-09-26T08:29:45Z
dc.date.issued 2018-03
dc.identifier.issn 2520-0577
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/414
dc.description Jarida la Ushairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrari en_US
dc.description.abstract Usufi ni njia mojawapo ya kumuabudu Mungu katika dini ya Kiislamu. Kuna tariqa kadhaa za kisufi katika Afrika Mashariki na zote zina lengo moja kuu la kumpwekesha Mungu. Nyingi ya tendi za kale za Kiswahili, haswa za kabla ya Karne ya Ishirini, zina maudhui kuhusu dini ya Kiislamu. Makala haya yanaangaza kuhusu njia hii ya kumpwekesha Mungu kwa kutumia ushairi wa tendi ili kufikiliza ujumbe huu wa kisufi. Nadharia ya Usemezano inashikilia kwamba maana haswa ya neno hupatikana kwa kuangalia muktadha wa maneno yalipo(vyo)tumika katika kauli nzima. Kwa kutumia msingi huu wa kuchunguza muktadha tutathibitisha kauli yetu kwamba tendi za kale za Kiswahili zina athari ya kisufi na katika Utendi wa Siri li Asrari ndipo tutakapochukua data yetu. Tumesampulisha itikadi, daraja, na lugha ya kisufi inavyojidhihirisha kwenye utendi huu na kutoa uchanganuzi wa kimaelezo. Tunahitimisha kwamba usufi umemwathiri kwa kiwango kikubwa mtunzi wa utendi huu na lengo lake na la kisufi ni moja – kumpwekesha Mungu en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher The Africa Premier Research Publishing Hub en_US
dc.subject Usufi en_US
dc.subject Siri li Asrari en_US
dc.subject Usemezano en_US
dc.subject Uislamu en_US
dc.subject Fasihi en_US
dc.title Ushairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrari en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account