University of Kabianga Repository

Ujumbe Wa Amani; Katika Uchaguzi Wa 2022 Tukumbuke Peek, Pii, Pwa, Biyo Zotʰe Ni L'eau (Maji)

Show simple item record

dc.contributor.author Karama, Mohamed
dc.date.accessioned 2022-09-26T07:28:41Z
dc.date.available 2022-09-26T07:28:41Z
dc.date.issued 2022-07
dc.identifier.uri https://www.researchgate.net/publication/362304261
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/413
dc.description.abstract Katika masiku ya hivi karibuni mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali nchini Kenya yamezinruka na kuonya kuhusu barabara wanasiyasa wanayot̪aka kutupeleka huku wakivutiya mikao yao katika Uchaguzi Mkuu unaokuja baad̪ a ya mud̪a kid̪ogo t̪u. Kwa vile kila mwamba ngoma huvutiya kwake, basi, ikawa kumsetʰa mwenziyo ni sawa. Mbiyu za mgambo zilipoanza kufikiriwa kulizwa, Serikali Kʰuu imekuja haraka na kwingiliya kati ili kuweka nidhamu isohat̪ arisha amani ya nchi. Hat̪uwa hii ya Serikali Kʰuu ni jambo la kupongezwa na kushukuriwa. Kama wasemavo wazee wetu wat̪ukufu waloitumikiya nchi hii kwa moyo wao wot̪ʰe, kura ni wingu la kupitʰa na keshowe kut̪akucha. Naswaha ya neno letu ni kwamba makunri yot̪ʰe yaangaliye twat̪oka wapi, tukoje hivi sasa, na kesho twait̪araji siku iwe njema vipi. Tukiyangaliya usawa wa binad̪amu kimaumbo yao, sisi twasema katika mwingiliyano wa lugha zao, piya, hakuna ilo bora kuliko nyengine. Lugha zilizomo Kenya ni nyingi na kila moja ina jukumu la kwenreleza ushikamano na ufungamano ili shabaha na lengo letu liwe moja: kuinuwa Kenya kihali na kimali. AMANI BAINA YA JAMII ZETU IMO KATIKA KILA KITʰU. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Research Gate en_US
dc.subject Ujumbe en_US
dc.subject Amani en_US
dc.subject Uchaguzi en_US
dc.subject Uchaguzi wa 2022 en_US
dc.subject Maji en_US
dc.title Ujumbe Wa Amani; Katika Uchaguzi Wa 2022 Tukumbuke Peek, Pii, Pwa, Biyo Zotʰe Ni L'eau (Maji) en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account