University of Kabianga Repository

Vipengele vya uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufuka

Show simple item record

dc.contributor.author Kenduiywa, Anne C
dc.contributor.author Mwamzandi, Issa
dc.contributor.author Kisurulia, Simiyu
dc.date.accessioned 2022-02-22T09:02:23Z
dc.date.available 2022-02-22T09:02:23Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.citation Kenduiywa, A. C., Mwamzandi, I., & Kisurulia, S. (2020). Vipengele vya Uwasilishaji wa Wahusika wa Kimazingaombwe na Uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufuka. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2(1), 1-7. en_US
dc.identifier.issn 2707-3475
dc.identifier.uri : https://doi.org/10.37284/eajss.2.1.49
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/350
dc.description Uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika en_US
dc.description.abstract Makala haya yanatathmini uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika katika kazi za Kiswahili. Uchanganuzi huu ni wa kimaktaba tukizingatia mihimili ya nadharia ya Umazingaombwe. Riwaya za Babu Alipofufuka na Watu wa Gehenna zilichaguliwa kimakusudi kwa sababu uwasilishaji umechochewa na mbinu ajabuajabu za waandishi katika uhusika na usawirishaji wa wahusika kwa njia unaojenga dhamira ya kimazingaombwe. Uwasilishaji huu unazua utata kwa wasomaji katika kunata ujumbe unaowasilishwa na wahusika hao katika riwaya hizi teule za kimajaribio. Waandishi hawa, Wamitia na Olali, wanasukanisha uhalisia uliochongwa kwa njia maalum katika ruwaza inayobadilikabadilika daima, huku wakiwakilisha matukio ya kawaida na maelezo ya kina sambamba na vipengee vya kifantasia na kindoto na kwa kutumia mambo yaliyotokana na visasili na hekaya. Aidha, kazi hii ilidhamiria kuthibitisha uwasilishaji wa kiuhalisajabu katika mandari au mazingira ya kimazingaombwe. Utafiti huu umejaribu kujaliza mapengo yanayoleta matatizo ya ufahamu na usadikifu wa kazi tulizo teua za kihalisiajabu. Maandishi katika utafiti huu yanadhamiria kukuza na kupanua uelewekaji wa riwaya za kisasa mbali na kufaidi wasomaji mbalimbali na hata kuwapa motisha wahakiki kushughulikia zaidi wahusika, uhusika na uwasilishaji katika misingi ya umazingaombwe katika fasihi simulizi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jarida la Afrika Mashariki la masomo ya Kiswahili, en_US
dc.subject Uwasilishaji en_US
dc.subject Uhusika en_US
dc.subject Umazingaombwe en_US
dc.subject Babu alipofufuka en_US
dc.subject Watu wa Gehenna. en_US
dc.title Vipengele vya uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufuka en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account