Karama, Mohamed; Chimerah, Rocha; Wa Mutiso, Kineene
(The Africa Premier Research Publishing Hub, 2018-03)
Usufi ni njia mojawapo ya kumuabudu Mungu katika dini ya Kiislamu. Kuna tariqa kadhaa za kisufi katika Afrika
Mashariki na zote zina lengo moja kuu la kumpwekesha Mungu. Nyingi ya tendi za kale za Kiswahili, haswa za ...