Muhia, Arthur K.; Mwamzandi, Issa Y.
(Mwanga wa Lugha, 7(1), 77-88., 2022)
Makala haya yanachanganua suala la changamoto zinazokabili umiliki na matumizi ya
ardhi barani Afrika kama lilivyosawiriwa katika riwaya za karne ya ishirini na moja, kwa
kurejelea riwaya za Chozi la Heri (2014), Msimu ...