Ushairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadi

dc.contributor.authorKarama, Mohamed
dc.contributor.authorMwamzandi, Issa
dc.date.accessioned2022-10-06T07:32:32Z
dc.date.available2022-10-06T07:32:32Z
dc.date.issued2019-04-10
dc.descriptionMakala Ya Ushairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadien_US
dc.description.abstractMakala haya yanakariri hoja kwamba ushairi wa Wagunduzi ni ushairi wa Wanajadi. Mapitiyo yetu ya maandishi yanayozungumziya ushairi wa Kiswahili yameonesha kwamba kuna makundi mawili: Wanajadi, akiwamo Sheikh Nabhany, na Wagunduzi, akiwamo Kezilahabi. Yaliyoandikwa yanaonesha kuwa mgogoro ulizuka kutokana na wanajadi kudai kuwa ushairi wa wagunduzi si wa Kiswahili kwa sababu haufwati urari wa vina na mizani na hivo umbo lake ni tafauti na la mashairi ya Kiswahili. Fauka ya hayo, wachanganuzi wa mashairi ya Kiswahili wana maoni kwamba mashairi ya Kezilahabi ni aina mpya ya mashairi ya Kiswahili. Lengo la makala haya ni kugeuza mwendelezo wa fikira hii. Lengo hili limefikiwa kwa kutumiya uainishaji wa mashairi ya Kiswahili uliyotolewa na Mwanajadi Nabhany kwamba umbo la shairi linatokana na mpangiliyo maalumu wa sauti. Kwa kuchanganuwa umbo la shairi moja la Kezilahabi kupitiya kigezo cha bahari ya utumbuizo, ambayo Nabhany ameiorodhesha kuwa bahari mojawapo ya mashairi ya kijadi ya Kiswahili, tumeona kwamba ushairi wa Kezilahabi una sifa zote, ama karibu zote, za bahari hiyo. Kwa sababu hiyo, tunahitimisha kuwa ushairi wa Kezilahabi ni ushairi wa Wanajadi.en_US
dc.identifier.citationKarama, M., & Mwamzandi, I. (2019). Ushairi wa Kezilahabi ni Ushairi wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi wa Umbo la Shairi la Wanajadi. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 1(1), 7-12.en_US
dc.identifier.issn1476-4687
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/421
dc.language.isootheren_US
dc.publisherJarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahilien_US
dc.relation.ispartofseries;Volume 4, Issue 1, 2019
dc.subjectUshairien_US
dc.subjectKezilahabien_US
dc.subjectNabhanyen_US
dc.subjectUchanganuzien_US
dc.subjectWanajadien_US
dc.titleUshairi Wa Kezilahabi Ni Ushairi Wa Nabhany: Ushahidi Kutoka Uchanganuzi Wa Umbo La Shairi La Wanajadien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
ushairi kezilahabi (1).pdf
Size:
252.28 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: