Vipengele vya uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufuka

dc.contributor.authorKenduiywa, Anne C
dc.contributor.authorMwamzandi, Issa
dc.contributor.authorKisurulia, Simiyu
dc.date.accessioned2022-02-22T09:02:23Z
dc.date.available2022-02-22T09:02:23Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionUwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusikaen_US
dc.description.abstractMakala haya yanatathmini uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika katika kazi za Kiswahili. Uchanganuzi huu ni wa kimaktaba tukizingatia mihimili ya nadharia ya Umazingaombwe. Riwaya za Babu Alipofufuka na Watu wa Gehenna zilichaguliwa kimakusudi kwa sababu uwasilishaji umechochewa na mbinu ajabuajabu za waandishi katika uhusika na usawirishaji wa wahusika kwa njia unaojenga dhamira ya kimazingaombwe. Uwasilishaji huu unazua utata kwa wasomaji katika kunata ujumbe unaowasilishwa na wahusika hao katika riwaya hizi teule za kimajaribio. Waandishi hawa, Wamitia na Olali, wanasukanisha uhalisia uliochongwa kwa njia maalum katika ruwaza inayobadilikabadilika daima, huku wakiwakilisha matukio ya kawaida na maelezo ya kina sambamba na vipengee vya kifantasia na kindoto na kwa kutumia mambo yaliyotokana na visasili na hekaya. Aidha, kazi hii ilidhamiria kuthibitisha uwasilishaji wa kiuhalisajabu katika mandari au mazingira ya kimazingaombwe. Utafiti huu umejaribu kujaliza mapengo yanayoleta matatizo ya ufahamu na usadikifu wa kazi tulizo teua za kihalisiajabu. Maandishi katika utafiti huu yanadhamiria kukuza na kupanua uelewekaji wa riwaya za kisasa mbali na kufaidi wasomaji mbalimbali na hata kuwapa motisha wahakiki kushughulikia zaidi wahusika, uhusika na uwasilishaji katika misingi ya umazingaombwe katika fasihi simulizi.en_US
dc.identifier.citationKenduiywa, A. C., Mwamzandi, I., & Kisurulia, S. (2020). Vipengele vya Uwasilishaji wa Wahusika wa Kimazingaombwe na Uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufuka. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2(1), 1-7.en_US
dc.identifier.issn2707-3475
dc.identifier.uri: https://doi.org/10.37284/eajss.2.1.49
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/350
dc.language.isootheren_US
dc.publisherJarida la Afrika Mashariki la masomo ya Kiswahili,en_US
dc.subjectUwasilishajien_US
dc.subjectUhusikaen_US
dc.subjectUmazingaombween_US
dc.subjectBabu alipofufukaen_US
dc.subjectWatu wa Gehenna.en_US
dc.titleVipengele vya uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na uhusika: Mifano katika Watu wa Gehenna na Babu Alipofufukaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Vipengele vya Uwasilishaji.pdf
Size:
240.74 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: