Kati Ya ‘Choo’ Na ‘Msala’ Ni Neno Lipi Tasfida Imetumika Kimatumizi?

dc.contributor.authorKarama, Mohamed
dc.date.accessioned2022-09-26T07:12:19Z
dc.date.available2022-09-26T07:12:19Z
dc.date.issued2019-10
dc.description.abstractTasfida ni matumizi ya lugha kwa ustadi unaopunguza makali ya maneno yanayotumiwa. Ikiwa maneno au misemo hiyo ina dalili za kutusi, kukirihi au kuweka maneno mwiko hadharani basi hutumiwa lugha inayoficha sifa hizi mbaya zinazojulikana na jamii. Imejitokeza katika mawanda ya matumizi ya neno ‘choo’ kuwa ni uchafu na hivo wanafunzi wa shule za Msingi na Upili katika mitalaa yao huambiwa wasilitumiye badala yake watumiye ‘msala’ au ‘haja’. Makala haya yameonesha hata hilo neno ‘choo’ piya ni tasfida na lafaa kutumiwa waziwazi katika maongezi ya kawaida. Kufikiya hatuwa hii, tumebainisha matumizi ya maneno ‘choo’, ‘msala’ na ‘haja’ na piya tuliangaziya usuli wa ‘choo’ kiisimu. Uchanganuzi wetu umebaini kuwa neno ‘choo’ latokana na ‘kioo’ lenye maana ya sehemu ya kuoga au kujinadhifisha na hata linapotumiwa kwa maana ya mavi au kinyeshi bado piya ni neno fiche lenye tasfida. Tunahitimisha kuwa kutokana na ‘usafi’ wake, neno ‘choo’ linaweza kutumiwa sawiya na maneno ‘msala’ au ‘haja’ ambayo ni ya mkopo na yenye maana tafauti na kule yalikokopwa.en_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/412
dc.language.isootheren_US
dc.publisherHimaya ya Kiswahili Tol.1 Chapisho la Chama cha Kiswahili Chuwo Kikuu cha Kabianga (CHAKIKA)en_US
dc.subjectChooen_US
dc.subjectMsalaen_US
dc.subjectKimatumizien_US
dc.subjectTasfidaen_US
dc.titleKati Ya ‘Choo’ Na ‘Msala’ Ni Neno Lipi Tasfida Imetumika Kimatumizi?en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
choo.pdf
Size:
58.95 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: