Ushairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrari

dc.contributor.authorKarama, Mohamed
dc.contributor.authorChimerah, Rocha
dc.contributor.authorWa Mutiso, Kineene
dc.date.accessioned2022-09-26T08:29:45Z
dc.date.available2022-09-26T08:29:45Z
dc.date.issued2018-03
dc.descriptionJarida la Ushairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrarien_US
dc.description.abstractUsufi ni njia mojawapo ya kumuabudu Mungu katika dini ya Kiislamu. Kuna tariqa kadhaa za kisufi katika Afrika Mashariki na zote zina lengo moja kuu la kumpwekesha Mungu. Nyingi ya tendi za kale za Kiswahili, haswa za kabla ya Karne ya Ishirini, zina maudhui kuhusu dini ya Kiislamu. Makala haya yanaangaza kuhusu njia hii ya kumpwekesha Mungu kwa kutumia ushairi wa tendi ili kufikiliza ujumbe huu wa kisufi. Nadharia ya Usemezano inashikilia kwamba maana haswa ya neno hupatikana kwa kuangalia muktadha wa maneno yalipo(vyo)tumika katika kauli nzima. Kwa kutumia msingi huu wa kuchunguza muktadha tutathibitisha kauli yetu kwamba tendi za kale za Kiswahili zina athari ya kisufi na katika Utendi wa Siri li Asrari ndipo tutakapochukua data yetu. Tumesampulisha itikadi, daraja, na lugha ya kisufi inavyojidhihirisha kwenye utendi huu na kutoa uchanganuzi wa kimaelezo. Tunahitimisha kwamba usufi umemwathiri kwa kiwango kikubwa mtunzi wa utendi huu na lengo lake na la kisufi ni moja – kumpwekesha Munguen_US
dc.identifier.issn2520-0577
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/414
dc.language.isootheren_US
dc.publisherThe Africa Premier Research Publishing Huben_US
dc.subjectUsufien_US
dc.subjectSiri li Asrarien_US
dc.subjectUsemezanoen_US
dc.subjectUislamuen_US
dc.subjectFasihien_US
dc.titleUshairi Wa Kisufi Katika Tendi Za Kale Za Kiswahili: Mfano Wa Utendi Wa Siri Li Asrarien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
ushairi.pdf
Size:
205.34 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: