Karama, Mohamed
(Himaya ya Kiswahili Tol.1 Chapisho la Chama cha Kiswahili Chuwo Kikuu cha Kabianga (CHAKIKA), 2019-10)
Tasfida ni matumizi ya lugha kwa ustadi unaopunguza makali ya
maneno yanayotumiwa. Ikiwa maneno au misemo hiyo ina dalili za
kutusi, kukirihi au kuweka maneno mwiko hadharani basi hutumiwa
lugha inayoficha sifa hizi ...