Siyasa ni tʰanga si nanga’ mwangwi wa funzo la kisiyasa na azimiyo la abd̪ilat̪if abd̪alla kifungoni: Ut̪afit̪i kiyelelezo wa kutendana katika sauti ya dhiki

dc.contributor.authorKarama, Mohamed
dc.contributor.authorMwamzandi, Issa
dc.contributor.authorKitito, Khalid
dc.date.accessioned2022-02-01T07:52:19Z
dc.date.available2022-02-01T07:52:19Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionEast African journal of Swahili studies,en_US
dc.description.abstractShairi la Kutendana katika Sauti ya Dhiki limechanganuliwa, mpaka sasa, kwa maono ya juujuu kwamba ni shairi la kingono. Kut̪okana na hit̪imisho hili, Mulokozi amelipuuza kuwa ni shairi lililokosa ubingwa wa kuenreleza maudhui muhimu yanayotatiza jamii. Makala haya yamebayanisha shairi hili kuwa ni fumbo la kisiyasa. Kwa kutumiya madhumuni ya ulingamanishaji wa fasiri ya matukiyo halisi ya kisiyasa katika Kenya wakat̪i huwo na shairi lenyewe; azimiyo la Abd̪ilat̪if katika shairi lenyewe na namna lilivofikiwa; na namna azimiyo hilo lilivoathiri msimamo wake wa kisiyasa baad̪a ya kut̪oka kifungoni, tumeweza kuibuwa maswala muhimu kuhusu maisha ya Abd̪ilat̪if kabla, wakat̪i wa, na baad̪a ya kut̪oka kifungoni. Nadhariya ya Usemezano yenye kud̪ulisha maana kut̪okana na usuli, athari, na mwingiliyano wa kauli nyingi katika mat̪ini na Uhistoriya Mpya yenye kut̪owa fasiri ya matukiyo ya kihistoriya nrizo nadhariya zilizotumika katika uchanganuzi wetu. Kauli mbalimbali zilizojit̪okeza katika mashairi kadhaa ya Sauti ya Dhiki na jazanra zilizotumika zimeweza kufumbuwa ist̪iyara ya shairi hili la Kutendana. Tumeona wahusika wake (wanawake wawili) wanawakilisha vyama va kisiyasa va wakat̪i huwo: KANU (KADU), KPU, na Mwanamume anawakilisha wananchi wa Kenya. Tukiengezeya, Abd̪ilat̪if anajisaili huko gerezani na kupelekeya afanye azimiyo la kujit̪owa katika siyasa za kijumuiya sizisothabit̪i na kuwanasihi wasomaji wengine wasiingiye katika mtego aliyouwingiya yeye. Maisha yake ya kisiyasa baad̪a ya kifungo yanaonekana kufuwata funzo na azimiyo hili.en_US
dc.identifier.citationKarama, M., Mwamzandi, I., & Kitito, K. (2020). ‘Siyasa ni Tʰanga si Nanga’Mwangwi wa Funzo la Kisiyasa na Azimiyo la Abd̪ilat̪if Abd̪alla Kifungoni: Ut̪afit̪i Kiyelelezo wa Kutendana Katika Sauti ya Dhiki. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2(1), 28-44.en_US
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.37284/eajss.2.1.144
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/300
dc.language.isootheren_US
dc.publisherJarida la Afrika mashariki la masomo ya Kiswahilien_US
dc.subjectSiyasaen_US
dc.subjectAbd̪ilat̪if abd̪allaen_US
dc.subjectSiyasa ni Tʰangaen_US
dc.subjectSauti ya dhikien_US
dc.subjectUhistoriyaen_US
dc.titleSiyasa ni tʰanga si nanga’ mwangwi wa funzo la kisiyasa na azimiyo la abd̪ilat̪if abd̪alla kifungoni: Ut̪afit̪i kiyelelezo wa kutendana katika sauti ya dhikien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
siyasa.pdf
Size:
413.27 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
full article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: