Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto

dc.contributor.authorMatin, Ibrahim
dc.contributor.authorKisurulia, Simiyu
dc.date.accessioned2022-11-21T08:01:03Z
dc.date.available2022-11-21T08:01:03Z
dc.date.issued2021
dc.descriptionJarida la Afrika Mashariki la Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watotoen_US
dc.description.abstractMakala haya yalichunguza jinsi wasanii wa vitabu vya fasihi ya watoto wamefuma tashbihikatika kazi zao ili kueleza maudhui yanayowalenga watoto kwa kuongozwa na nadharia ya umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure (1916). Kupitia kwa njia ya kiupekuzi na uchanganuzi matini, vitabu vya Kisasi Hapana, Nimefufuka, Sitaki Iwe Siri, na Wema wa Mwanaviliteuliwa kimakusudi, vikasomwa na kuchanganuliwa. Tashbihi mbalimbali na maudhui ya familia, elimu, nidhamu, bidii, ugonjwa na kifo yalitambuliwa na kujadiliwa kwa undani. Uhusiano kati ya tashbihi na maudhui hayo ulidhihirishwa. Matokeo ya jinsi tashbihi zinavyofanikisha kueleza maudhui yaliwasilishwa kithamano. Utafiti huu umeonyesha tashbihi na maudhui katika kazi tulizohakiki na pia unachochea washikadau katika uwanda wa fasihi ya watoto kuhakiki kazi za watoto kablakuwateulia kuzisoma.en_US
dc.identifier.citationMatin, I., & Kisurulia, S. (2021). Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto. Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 3(1), 58-69.en_US
dc.identifier.issn2707-3475
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.37284/2707-3475
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/430
dc.language.isootheren_US
dc.publisherJarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahilien_US
dc.subjectFasihi Ya Watotoen_US
dc.subjectNafasien_US
dc.subjectTashbihien_US
dc.subjectKufanikishaen_US
dc.subjectMaudhuien_US
dc.titleNafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watotoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
nafasi.pdf
Size:
337.9 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: