Uchopekaji wa Vipande vya Simulizi katika Riwaya za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso na Mwanamke (2010)

dc.contributor.authorMuigai, Mary Njambi
dc.contributor.authorMwamzandi, Issa
dc.contributor.authorOduori, Robert
dc.date.accessioned2024-08-19T06:55:03Z
dc.date.available2024-08-19T06:55:03Z
dc.date.issued2024
dc.descriptionJarida la Uchopekaji wa Vipande vya Simulizi katika Riwaya za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso na Mwanamke (2010)en_US
dc.description.abstractMakala haya yanachunguza matumizi ya uchopekaji wa vipande vya simulizi katika riwaya mbili za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Uchunguzi huu uliongozwa na Nadharia ya Ubaadausasa ambayo hupendekeza uanuwai wa mawazo kwa kukaidi kuwepo na mtazamo mmoja wa kueleza ulimwengu na tajriba za binadamu, au simulizi kuu. Uchanganuzi umedhihirisha kuwa mwandishi wa riwaya hizi alitumia kimakusudi vipengele vya kibaadausasa ili kukaidi simulizi kuu zilizotawala. Riwaya hizi zilitumia uchopekaji wa vipande vya simulizi kuvuruga urazini, mshikamano, na muumano wa usimulizi wa riwaya za kimapokeo. Kimaudhui, riwaya hizi zinasaili mwelekeo chanya uliohusishwa na uhuru. Zinaonyesha kuwa mataifa mengi ya Afrika yametawaliwa na hali ya utamauishi baada ya uhuru. Vilevile, misaada inayotolewa na mataifa ya ulaya hutumika kama chambo cha kueneza ukoloni mamboleo katika mataifa ya Afrika. Hali kadhalika, riwaya hizi zinaonyesha changamoto ambazo wahamiaji hupitia wanapohamia ughaibuni kutafuta maisha bora. Ni bayana kuwa mwandishi wa riwaya hizi ametumia mtindo wa uandishi wa ubaadausasa kama mbinu ya kiumbuji inayokaidi uandishi wa kimapokeo. Vilevile, riwaya hizi zimetumika kudhihirisha fujo, ghasia, na ukosefu wa mshikamano katika ulimwengu wa karne ya ishirini na moja.en_US
dc.identifier.citationMuigai, M. N., Mwamzandi, I., & Oduori, R. (2024). Uchopekaji wa Vipande vya Simulizi katika Riwaya za SA Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso na Mwanamke (2010). Journal of Kiswahili and Other African Languages, 2(1), 10-19.en_US
dc.identifier.issn2958-4914
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/867
dc.language.isoenen_US
dc.publisherJournal of Kiswahili and Other African Languagesen_US
dc.subjectSimulizi kuuen_US
dc.subjectUanuwaien_US
dc.subjectUbaadausasaen_US
dc.subjectUchopekajien_US
dc.titleUchopekaji wa Vipande vya Simulizi katika Riwaya za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso na Mwanamke (2010)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mwamzandi.pdf
Size:
226.3 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Research Article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: