Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano

dc.contributor.authorKarama, Mohameḍ
dc.date.accessioned2023-06-15T07:48:19Z
dc.date.available2023-06-15T07:48:19Z
dc.date.issued2023
dc.descriptionJarida la Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifanoen_US
dc.description.abstractKatika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇ a mumewe, ni ule wa Ṁanakupona. K̇ a mara ya k̇ anza, makala haya yanaangaziya uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇ a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na majukumu ya mume k̇ a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha aliyonayo mtunzi k̇ a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa. Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa: k̇ enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke yao bali na jamii k̇ a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇ idhibiṭi nrowa. Naṭija ilopatikana k̇ a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇ a k̇ angaziwa sana Ṁanakupona na kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa kiyume.en_US
dc.identifier.citationKarama, M. (2023). Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano.en_US
dc.identifier.issn2707-3475
dc.identifier.uri: https://doi.org/10.37284/2707-3475
dc.identifier.urihttp://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/593
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEast African Journal of Swahili Studiesen_US
dc.subjectUfupisho wa Ramanimeen_US
dc.subjectMasemezanoen_US
dc.subjectUjamaaen_US
dc.subjectTaharukien_US
dc.subjectMjadala..en_US
dc.titleKimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifanoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kimonro.pdf
Size:
389.09 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full article

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: