Karama, Mohamed; Mwamzandi, Issa
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2019-04-10)
Makala haya yanakariri hoja kwamba ushairi wa Wagunduzi ni ushairi wa
Wanajadi. Mapitiyo yetu ya maandishi yanayozungumziya ushairi wa
Kiswahili yameonesha kwamba kuna makundi mawili: Wanajadi, akiwamo
Sheikh Nabhany, ...