Karama, Mohamed
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2019)
Lugha ya kimaharajani iliangaziwa mwanzo na Mikhail Bakhtin, mwanaisimu
wa Kirusi na mwitifaki mkuu wa Usemezano. Lugha hii ina sifa za kuweka
kanro kaida za usemaji wa kirasmi na kuwacha wananchi watangamane bila
vizuizi ...