Kenduiywa, Anne C; Mwamzandi, Issa; Kisurulia, Simiyu
(Jarida la Afrika Mashariki la masomo ya Kiswahili,, 2020)
Makala haya yanatathmini uwasilishaji wa wahusika wa kimazingaombwe na
uhusika katika kazi za Kiswahili. Uchanganuzi huu ni wa kimaktaba
tukizingatia mihimili ya nadharia ya Umazingaombwe. Riwaya za Babu
Alipofufuka na ...