I WA RAMANI YA MAISHA YA NROWA (MUME) ULIYOTUNGWA NI USṬADH MAHMOU IR (MAU) WA LAMU, KENYA Naaṇḍa nudhuma hini Ina ya pili ramani Naṁaṇḍikiya Yahaya. 9. Boya hili la maisha Kaṭu haliṭozamisha Ashikao ṭamvusha Baṇḍari ṭasikiliya. ṇḍa Banaṭi naliwafuṇḍa Na hini nimeiyunra Wavulana kuwambiya. 10. Ṁanangu ukiyazimu ṇḍa fahamu Kuṭauwa ni muhimu Ni amri ya shariya. ṇḍika Nahisi wana waṭaka Baba piya kadhalika Mimi alinaṇḍikiya. 11. Mtumi alibaini Ṁanamke ṁenye ḍini Mungu ṭawabarikiya. ḍi Aṭamjazi Waḍuḍi ṭahiḍi Kunaṇḍikiya wasiya. 12. Ṁanangu siṭake mke Nasaba na pato lake Mayuṭoni uṭangiya. 5. Hapo Zamani za Yana Nriyo la wasiya yina Alonaṇḍikiyya ḃana Babangu kaniwaṭiya. 13. Wala ḍini haineni Owa shuguu la uni Kishuna kilo na ḍini Kukiyowa si haṭiya. 6. Nami katika ramani Ṭʰayipiṇḍa kubaini Yale ninayoamini Yaweza kusaiḍiya. 14. Ṁenye nasaba ṭukufu ṭiifu H tʰ f Kama huyo kuzengeya. 7. Ṭʰanena naloyaṭuma Na yale niloyasoma Ṭʰazitaya na hekima tʰ . 15. Na mke alo na chake ṭake Bora awe ḍini yake Meshika hakumbiriya. 8. Yale niṭayokusanya Mbali mbali kuṭanganya Lengo langu ni kufanya Kama la maisha boya. 16. Ḍini ni kama bureki Humziwiya haṭoki Mipakani na haruki Akiwa ṭaitumiya. 17. Na ḍini humziwiza Kutenra yasopeṇḍeza Na nripo kakuhimiza Ṁenye ḍ . 28. Mila yetu usiwaṭe Mfano kuvisha pete Si yetu usifuwate Wengi wangakazaniya. 18. Ḍini ninayoinena Sikuwa nayo ni ina Ḍ ṇḍama sana Amri zake Jaliya. 29. Ni mila ya kinasara iwaṭa nriyo bora Wangawa waṭakukera ṭoeleya. 19. Ni ḍ tʰ ṁenresha Si ḍini ya kwonesha tʰ ḍaliya. Usikiri ṭangamano Haṭa alo nruyo mno Simuwaṭe nawe kuya. 20. Ni ḍini iliyo nrani Iliyokita moyoni Nriyo huwa ni sukani Ya kumwongoza ṇḍiya. 31. Nyumba yako siyasisi Ṭaivutiya nuhusi Na ukorofi kungiya. 21. Na amuwa Ni fulani ṭamuwowa Fanya mambo sawasawa Saṇḍame ya jongo ṇḍiya. 32. Na maasi ninenayo Ni kula mambo ambayo Mola ayaṭukiyayo Na kula aloziwiya. 22. Usifanye ya sheshegi tʰ Siipeke zigizagi H . 33. Moya moya siṭoweza t Nimekupa ṁangaza Wa ṇḍiya kufuatiya. 23. Kula ikiwa ni pesi Huwa ni bora harusi Fanya mambo ya kiyasi . 34. Nimekupa ni kiyasi Kitumyie nawe basi t . 24. Makubwa usiyaṭake Na mipaka usiruke Piya upanre wa mke Waeleze kama haya. 35. Nyumba njema ni msinji Ṭamu ya chai si ranji Wengi metiliwa ṭanji f . 25. Zikiwa nyingi gharama Na mayuṭo ni lazima Ngoma zikisa kukoma Ni lawama husaliya. 36. Kiwa ni lazima sana Hilo la ṇḍamana Shemegiyo mvulana Aṇḍamanani pamoya. 26. Fanya mambo ya kaḍiri Siṭake mno fakhari Nakuusiya sikiri Hafula za maasiya. 37. Au ṁengine yoyoṭʰe Maharimu nafuate Ajinabu simuwaṭe Mkeyo kuṁangaliya. 27. Hafula za isirafu Na za magoma machafu t t f Ḍini hayo huzuwiya. 38. Rafiki siṁamini Ukamtiya nyumbani Ila dharura fulani Sikuye ikiṭokeya. 39. Rafiki usimliche Ni zaiḍi huyo mche Huwa usolidhaniya. tʰ t Shughuli kimalizika Musiweke mazoweya. 40. Zizini kutiya simba Ni kama moto na pamba Mara moya huzisumba Na yivu likasaliya. Siifanye mno ḍuni tʰ ṭani kuyitiya. 41. Rafiki kingiya nrani Sikuye ukaṭamani Sambe ona ni nyumbani Hee! Utayiṭongeya. 52. Mtiliye mke wako tʰ ḍiri yako Ikiwa nafasi iko Sibane ukaziwiya. H t Kungiya kula mahala Pasi hoḍi na sumila Siyo yetu mazoweya. 53. Iwe mariḍaḍi nyumba tʰ Kama yeye hutumiya. 43. Yali na kazi maḍaka Ni wageni kuwaḍaka Maḍaka ni kuwaweka Na nrani kuṭoṭungiya. t tʰ Awe kama weṇḍ tʰ Siṁ t Haya sikuyazoweya. 44. Ila awe ni mgeni Wa kushukiya nyumbani Hungiya na hamuwoni Aliyo nrani mmoya. 55. Akiwa mbwa minazini Ukimuweta muyini Simuwaṭe kuṭamani Za weṇḍe kishuhuḍiya. 45. Na uchenra safarini Kashukiye hotelini Sipeṇḍe sana nyumbani Ila ni kupita ṇḍiya. 56. Ukiwa umeamuwa Muyini kumṭukuwa Mfanyiye sawasawa . 46. Ukiṁenreya nyumbani Ṁ tʰ tʰ Au alo masikini Ṭaabuni humtiya. 57. Siṁ tʰ t huwezi Hukuwona mazuliya. 47. Na iwapo huna buḍi H f ḍi Siku tatu usiziḍi Siyongeze haṭa moya. 58. Na chakula kadhalika Mpe anachokiṭaka Ambacho ṭafurahika Ṁenyewe mekizoweya. 48. Na hilo wewe sitenre Ila mambo yakushinre Mṭeremko sipeṇḍe Nyongo hukutumbukiya. 59. Akipeṇḍa biriyani Mpe ṁana simkhini Maaḍamu mfukoni Akiba imesaliya. 49. Lojingi kiwa hapana Au mfukoni huna Kama kupoṭeya ṇḍiya. 60. Siku akiṭaka sima Siṁambiye ewe mama! Kula mṭee lazima Mimi siṭaki udhiya. 61. Ṁaṭiye na khiyari Apeṇḍacho akhiṭari Simkaze si uzuri Masharuṭi kuṁekeya. ḍiri Usifanye ṭaqiṭiri Ni ṭwabiya si mzuri . 62. Ila kilicho haramu Hilo sikiri fahamu Haramu na kula sumu Shariya imeziwiya. 73. Na wewe upanre wako Ipambe kiyasi chako Bora usivuṇḍe miko Khaṭiyani ukangiya. 63. Ama kuhusu mavazi Ya kaye na siku hizi Mishono yaso na haya. tʰ ḍaḍi Uṭunge yako jasaḍi Haṭa kufukiza uḍi Ukiweza si khaṭiya. t v tʰ Na sisi yatulazimu . 75. Iweke uwe nadhifu Siyonekane mchafu Hini ni sunna ṭukufu Ya Tuṁa wetu nabiya. 65. Mpe ṁenyewe nafasi Ya kuṭauwa libasi Lako wewe ni fulusi Ṭowa za kununuliya. 76. Kiwa nyee umeweka Zangaliye kadhalika Siwaṭe kusokoṭeka Shungururu kusaliya. 66. Mpe yako masharuṭi Za mshono kudhibiṭi Akikhalifu mehiṭi Ni haki kumziwiya. 77. Ikiwa wafurahika Mkeyo akipambika Yuwa na yeye huṭaka Nawe uwe huvutiya. 67. Ama kiṭambaa gani Kikuuliza ṁeṇḍani Au ni ipi launi Wewe waifurahiya. 78. Hiyo naye ṇḍake haki Ṭakuwa hafurahiki Iwapo hushughuliki Ṁilio . 68. Hapo makosa hapana Kikuuliza kunena Rangi hini naiyona Maṭoni imeningiya. 79. Naye piya huṭamani Akikuwona ṇḍiyani Uwe nawe hisabuni P tʰ ṭangiya. 69. Ama kiwa ni ṭamasha Waṭaka mfurahisha Si haja kumwonesha Maoniye . 80. Au kiwa yako kazi Kutenra haya huwezi Wisapo vuwa magozi Sivaye kuṭembeleya. 70. Kata uṭakachopeṇḍa Umṭunukiye nyoṇḍa Nawe hili ukitenra Chochoṭʰe ṭakongoweya. 81. Siṭembee na magwanra f ’ nra Fahamu watʰu huṭuṇḍa Na akilini hutiya. 71. Mke wako simdhiki Siṁambiye sina hiki Na nyingi mno siṭaki Sizoweye kutumiya. 82. Na kadhalika ulimi Ipinre uwe husemi Yalo mawi huwaṭami Mke wako kuṁambiya. 83. Mno sana jiṭahiḍi ḍaḍi Wake huṭaka zaiḍi Yalo ṭamu kusikiya. 94. Usichʰoke kumsifu f Na ukiyona uchafu Usiwe ṭamuukiya. Afurahi akicheka Ṁanamke huudhika Mno kumnyamaliya. 95. Na faragha ukipata Mbee yako kikupita Usiwe uṭamuwaṭa Mkono kumpekeya. 85. Mfanyiye na ubishi ṭeshi Bila ya kupinrukiya. 96. Mshike wake mkono Wala simkaze mno Huṭosha nukuṭa ṭʰano Ujumbe kumpekeya. 86. Ṁanamke ahiṭaji Kuvishwa la sifa ṭaji Usichoke kuṁambiya. 97. Kiwa amekukabili Siitiye mashughuli Inuwa yako mawili Na yake kuṁelekeya. 87. Ṁambiye kula namna Sifa zake ṭena sana Mfano ukimuwona Nyee mefunga upiya. 98. Waṭa maṭo yafumane Kaṭiṭi yangaliyane a ulimi usinene Lugha ya maṭo tumiya. 88. Kiwa mesuka mikili Au kuruni mawili Siliwaṭe yambo hili Bila ya kulitumiya. 99. Maṭo yana lugha ṭamu Hunena mukafahamu Maṭo kiyungo muhimu Cha huba kupaliliya. 89. Ṁambiye umepeṇḍeza t Sina buḍi ṭakutuza Umshumu mara moya. 100.Maṭ ʰ adhiri Kakuṭoleya khabari Moyoni uloziwiya. 90. Kiwa ametiya waṇḍa Ṁambiye mno napeṇḍa Siifanye hukuṭuṇḍa Au hukuṁangaliya. 101.Hili nimenena sana Ni muhimu naliyona Wala gharama halina Na si kazi kutumiya. 91. Kijifunga asumini Au kikuba kiṭwani Sichelewe kubaini Neno lema kuṁambiya. 102. Walakini si sahali v t Kaṭu hawakuzoweya. 92. Yaani kula wakaṭi Ṁ tʰ ṭiṭi Na kama bubwi sikeṭi Au ḍuko ṭʰongo piya. 103. Mbinu hizi izoweze Zitumiye sizipuze Uṭaona faiḍaze Ṁenyewe ṭashuhuḍiya. 93. Piya mpe shukurani Mfano pilau hini Mno umeipatiya. 104. Mambo hayana gharama tʰ ḍaima Kama haya huzengeya. 105. Mke huwa una ṁako Kuyuwa maoni yako Kusikiya neno lako Ni haja ahiṭajiya. 116. Mke wako si kivuli tʰ li Una na yake akili Una na alozoweya. 106. Yuwa haṭosheki mke v t tʰ Na hishima kuṁekeya. 117. Usiṭ Kula yambo ukisema Alikubali ḍaima Papo hapo kuridhiya. tʰ Hili nrilo umbo lake Ni yambo meyazoweya. 118. Ṁatiye makawaṇḍa Anene anolipeṇḍa Siwe vito ṭatumiya. 108. Huṭ ḍira Hina hapeṇḍi kuchora Na wala waṇḍa kutiya. 119. Ukiyona sawa ṇḍake Ikubali uridhike Na wala sikasirike Mḍomo kumfungiya. 109. Hana hayo mashughuli tʰ v Ya urembo hayajali Wala hakuyazoweya. 120. Kubali mezolinena Umuunge ṭena sana Na faiḍa uṭaona Mambo ṭaaṇḍama ṇḍiya. 110. Kiwa nawe wako mke Hilo si shughuli yake Basi nawe sisumbuke Mashughuli kuyitiya. 121. Na yeye kikasirika Wewe usipanre shuka Na akiziḍi onroka Kishinrwa kuvumiliya. 111. Na lengine la dharura Ifuṇḍe mno subira Kuna mambo ya kukera Maishani yaṭokeya. 122. Ṁanangu moto tizama Hauzinyiki ḍaima Bali huziḍi roroma ʰ t . 112. Hakuna maisha ṭamu Yenye raha ya kuḍumu Mambo ṭakuwa magumu Kiwa huṭovumiliya. 123. Moto kiṭ t ʰ Uṭazinyika ṁeṇḍani Na utesi wa nyumbani ʰ baya. 113. Kuna ṭamu na uṭungu ṁengu Yaliyaṇḍa haya ṭangu Yalipoumbwa ḍuniya. 124. Ziwiya wako ulimi Siwe na ṁingi usemi Ukinena hayakomi Maneno hwenreleya. 114. Hini nriyo kawaiḍa Kuna raha kuna shiḍa Nriyo ya maisha aḍa tʰ t . 125. Ziḍi na kuyikukusa Ulimi kuṭoṭapasa Zita zenu ziṭ Moto mayi uṭatiya. Siyote kuwa peponi Maaḍamu hapo nrani Si wewe pweke mmoya. 126. Na alo mume hoḍari Kishinrwa yeye hukiri ḍothari Ya ufa sini kutiya. 127. Sini ikingiya ufa Hupunguwa zake sifa Na mahaba nayo hufa Ukiwa ṁingi udhiya. 138. Ṁanaaḍamu kukosa Ni yambo limetupasa Ni sawa kuyikukusa Mangine kuvumiliya. 128. Hakuna kaṭu hakuna Kiyumbe kamili sana tʰ ṭukuwana Nripo waishi pamoya. 139. Lisamehe kosa ḍogo Kosa likiwa mzigo Halipeleki kishogo Zengeya nyengine ṇḍiya. 129. Kiwa lazima waṭaka Mke alokamilika Juwa na wewe hakika Ṭakubiḍi kutimiya. 140. Ṭafauti za nyumbani Ziwe ni siri za nrani Siziṭowe hadhirani tʰ . 130. Aso tʰaa ni ṭʰomomo H tʰ t Huziḍiyana ṭwabiya. 141. Siri za nrani zibane Usiṁambiye mngine Wewe na yeye munene Suluhisho kuzengeya. 131. Mke kikukasirisha Jaribu kuyikumbusha Piya hukufurahisha Mezani hini tumiya. 142. Ila mukikosa buḍi Kunena ikawabiḍi Wazee wawasaiḍi Hapo haiwi haṭiya. 132. Usiyaone ya jongo ṭʰongo Sangaliye penye pengo Kawaṭa paloṭimiya. 143. Ṭafauṭi ikizuka Ni mikono kuyaṇḍika Yuwa ṇḍe ikiṭoka Huzuwa nyingi balaya. 133. Huna buḍi kupuuza Na mangine kuyamiza Nripo muweze kufuza . 144. Khususwa siri za siri adhiri Ila iwe ḍakiṭari Suwali mewataiya. 134. Mke kitenra makosa Kuṁambiya yakupasa Na hikima kutumiya. 145. Mambo ya ṭʰ ṭʰini Hayo muwe hamuneni Ila yakiwaemeya. 135. Kosa kulisahihisha P tʰ Ipinre kupurukusha izengeya. 146. Kiwa mno mewaganya Mukashinrwa la kufanya ṭowakanya Ushauri kuzengeya. 136. Siṁ tʰ H tʰ t tʰ Bali ni kinyume huya. 147. Ni bora uwe hoḍari Na kushinrwa usikiri Wala usiṭahayari t . 137. Kumsifu ni uzuri P tʰ Nripo aṭakusikiya. 148. Ni hiko hiko kitenro Kiwa wa halali ṁeṇḍo Haramu iweke kanro Kaṭu kuṭokaribiya. 149. Wa haramu simguse Kimuwona igegese Haṭa nyangwani mpise Saṇḍamane naye ṇḍiya. ṭoshana Mengi huvumiliyana Mno hukorofishana Hili lisipoṭimiya. 150. Usenre haṭa karibu Epuka hizo iqabu Uṭapata na thawabu Mkeyo kumngiliya. 161. Na lingine kadhalika ṭaka Ni mkeyo kiyudhika Usiwe ṭamfuriya. 151. Elewa sana elewa Ni jukumu umepowa Mkeyo kuṁisa ngowa t . 162. Pangine uṭamuwona Hufura sababu hana Ṁelewe ṭena sana Na mno kumuyuliya. 152. Mkeyo mṭosheleze Haja yake amalize Na shauku asisaze Mparo ukaṁaṭiya. 163. Ifahamu ṭafauṭi Waliyo nayo banaṭi Hawezi kuyidhibiṭi Hali inapowaḍiya. 153. Ongeza wako uyuzi Wa kufanya hiyo kazi Ṁeṇḍo kiwa hamalizi Fahamu wamkoseya. 164. Mke si kiyumbe ḍufu Walakini ni dhaifu Moyo wake ni khafifu Hushinrwa kuvumiliya. H ʰ Wewe ukisakukoma Huṭaki geuka nyuma Na yeye kumngojeya. 165. Wanawake wana umbo Hw t Kaṭiṭi yakenra kʰombo Wasi wasi humtiya. 155. Simalize yako haja Mngoje ṁise pamoja Hili haṭaki mmoja Ni nyoṭʰe hulizengeya. 166. Katika siku za aḍa Ya ṁezi hupata shiḍa Nripo haṭa na ibaḍa Mungu kawapunguziya. 156. Angaliya ufikiri Kiwa ṁeṇḍo ṭaghairi Na wewe penye baṇḍari Baḍo nanga hujatiya. 167. Mno huwa ya thaqili Na hubaḍilika hali Na choṭʰe kiwiliwili Huwa katika udhiya. 157. Uṭakuwa hali gani Usingizi huuwoni Hali hiyo ubaini Na ṁeṇḍ ṁiliya. 168. Huwa sana ni wayavu Hukosa uvumilivu Huwa kama ivu ivu ṭumbuka huzengeya. 158. Aṭakuwa na mṭaro Na dhiki mno na kero Na hasira na mfuro Kiwa huṭomridhiya. 169. Huwa mno ni wakali Nadhani haṭa akili Haiwi sawa kamili Na punguwani hungiya. 159. Nyumba nyingi huvuṇḍika Zikikosa muwafaka ṭoṭosheka Mke na mume pamoya. 170. Kula mara ṭamuwona Huwarukiya zijana Kinyume cha mazoweya. 171. Ni muhimu kula mume Mke wake amsome Siku zikikaribiya. 182. Neno loloṭʰe aweza Hajali kuvurimiza Ni sharuṭi kuyikaza Mizani kuṭopoṭeya. 172. Ukisa kumfahamu Uwaṭe kumlaumu Hili mno ni muhimu Yaṭaka kulizoweya. 183. Mara aweza ṭalaka ṭaka Nawe ukikasirika Mayuṭo yaṭasaliya. 173. Kuna na muḍa wa mimba v Mekuwa hukuzengeya. 184 ṭa Siwe naye muṭateta Ni kiwingu kiṭapita Hakiwezi kusaliya. 174. Kukosa yambo kaṭiṭi Huwa wewe umehiṭi Angaliya kibiriṭi Kiḍarika ṭʰeṭe huya. 185. Ṭwalaka siiteleze Aiṭakapo mpuze Wala siitenrekeze Lake kumṭimiziya. 175. Mara nyama haiṭaki Aṭaka nsi wa siki Alacho hakimshiki Akitiyacho huṁaya. 186. Ṭwalaka Mungu meweka t Iwapo mumedhikika Mumekosa zoṭʰe ṇḍiya. 176. Ziyelewe siku hizi Mimba na siku za ṁezi Kiwa humbembelezi Ṭaona wamuwoneya. 187. Kushaliki mushinrwapo Ṭwalaka huwa ni hapo Na muḍa uiṭowapo Usiiziḍishe moya. 177. Mpembe kama kijana Ṭena aliyo mnuna Nripo muṭasikizana Na yaḍumu mazoweya. 188. Ṭimiza na masharuṭi Ya hali piya wakaṭi Na hukumu ziṭafiṭi Kabula ya kutumiya. 178. Sharuṭi uwe ṁerevu Na mno mvumilivu Usifurishe mashavu Kiwa naye meteteya. 189 tʰ ṭana Kisa mara huwawona ṭakana Zipengee huzengeya. 179 tʰ tʰ tʰ tʰ tʰ tʰ Na mṭanga hubugiya. 190. Huzengeya muhalili Fikiriya yambo hili f . 180. Ni mambo ya miyujiza Zao hali hugeuza Kiwa huṭobembeleza Mara ṭaona huliya. 191. Na langine kadhalika ṭosheka Ila kiwa medhikika Haikupinga shariya. 181. Ṁ ṭaabu Mara hufanya ghadhabu Haṭa alo ṭaraṭibu Hubaḍilika ṭwabiya. 192. Mke siyowe wa pili Na ingawa ni halali Ni uzito kutumiya. 193. Na wanawake si sawa ḍawa Uṭaiyuṭa kuzawa . 204. Nawe kimpeṇḍa mke Wapeṇḍe wazee wake ḃako siyepuke Na hishima kuwekeya. 194. Kuna wanaoridhika Wangawa wanung’unika Kuna wangine huwaka Fununu wakisikiya. 205. Muhishimu wake mama Piya babake ḍaima Kuwadharau si wema Tono nawe ṭamtiya. 195. Kwongeza si haramu Walakini ufahamu ʰ Mbali na wake udhiya. 206 v Iṭunge siwatukane Haṭa kama huyo ṁane Hishima mewavuṇḍiya. 196. Ikiwa sababu iko f Mepowa mikali miko f . 207. Wewe kaṭu sisubuṭu tʰ Haṭa kama utukutu umeshuhuḍiya. 197. Labuḍa hana kizazi La kuzaa haliwezi Nawe waṭaka pumbazi Yapo ni ṁana mmoya. 208 tʰ t t Siyo nawo uṭateta Kheri mbali kuivuta . 198. Au yale mashughuli Yeye humpa thaqili Nawe kusiṭahamili Huliwezi hilo piya. 209. Ukiwa una nafasi La kuwapa sikuwasi f Siye dewe kakutiya. 199 ḍi t ḍi ḍi Kiṭosheleza mmoya. 210 t ḍengene Kiwa nawo upembene Hadhari nakuusiya. 200 ṭosheka Nriyo bora bila shaka ṭaka . 211 tʰ Kaṭu hawakuḍangana Haṭa kiwa haja una Haaṇḍ . 201. Usiwe kiruka mṭo Khasa kiwa na watoto Kuna hisabu mzito Akhera ṭakungojeya. 212. Hanaṇḍi haṭa nyumbani ṁanawe kaṭamani tʰ t . 202. Usiifanya cha nyuki H tʰ ḍiriki Mara huwa umeteya. 213 ḍiyani mukikutana Huwa na haraka sana Hamakiniki kunena . 203. Kiwa umepeṇḍa tunra Huna buḍi na kupeṇḍa Mti wake ṭ ṇḍa . 214 f Basi ni bahaṭi yako Ni hapo pa kuziwiya. 215 Ni wa kupeṇḍa kupowa Kuwapa hukuzuwiwa Mkono kuwanyosheya. 226. Wivu ni kama kiyungo Ukiziḍi ni ṭewengo Piya kuyifanya ṭʰongo Uḍuyuthini hungiya. 216. Usiweke kama aḍa Kisa ṭ t ḍa Ila wawe si la buḍa tʰ ṭajiya. 227. Na kuukosa kabisa Ingawa nriyo kisasa Hiyo si njema siyasa Ya nyumbani kutumiya. 217. Wakiwa ni wahiṭaji Siwangoje kuṭaraji Ni sawa kuwapekeya. 228. Ni lazima kuwa nawo Kikuzumbuwa hunawo Maṭoni huṭomngiya. 218. Ukiwa umewaona tʰ Ni wale wa kuḍangana Wa kupeṇḍ ʰ 229. Kuwa nawo wa kaḍiri Hiyo nriyo ḍasiṭuri f ṇḍe ṭayivuniya. 219. Ziwiya siṭowe chako Na ṁambiye mke wako Ila huṭofu sumbuko Birika mbovu kutiya. 230. Na fununu ukipata Kuwa mke ni matata Siinuke na kuteta ṇḍa ziḍ . 220. Ama wasiyo wazazi Wajomba na mashangazi Hapo kuna ngumu kazi t ḍuniya. 231. Simṭukuliye dhana Hilo ni khaṭari sana Mayuṭoni ṭakutiya. 221 ṇḍa usiwaṭapiye ʰ ṭi mbali wangaliye Ukiyaona mamboye ḍ . 232. Iziwiye usubiri Uhakikishe khabari Ṭ f Pasi na kupija mbiya. 222. Usenre sana karibu Ṭaivutiya ṭaabu Ni wengi wa kuharibu Katika nimezotaya. 233. Ikiwa umeṭosheka Hilo ni yambo hakika ṭaraṭibu epuka Bila sababu kutaya. 223. Ama mashemegi zako Ḍaḍa zake mke wako Ṁanangu sivuṇḍe miko iya. 234. Sitaye yako sababu Uṭaziḍi kuharibu Zitatangaa aibu . 224. Usiyonrowe mipaka Mara mambo hugeuka Kizaazaa kikaya. 235. Na hilo kisa kutenra Huna buḍi kuyipinra Haṭa kama una nyoṇḍa Siwe nyuma ṭarejeya. 225. Kheri wambiwe muwovu t ʰ v Kheri wambe una wivu Kuliko kukuvuṇḍiya. 236. Ipinre ipinre mno Sibaḍili lako neno Ṁiso ṭapata usono Yaṭaṭoka mazoweya. 237. Uṭasukikasukika Kiwa moyo wamṭaka Fahamu ṭafedheheka Kiwa huṭoyiziwiya. 248. Ni sahali kusikiza Kaseti moya huweza Wengi wakapulikiza Wakasikiza pamoya. 238. Iziwiye ikukuse Mpaka mahaba yese Penyenye usiyapise Moyoni kakuruḍiya. 249. Lau kama ni kiṭabu Wasomaji ni hububu Wengi huona ṭaabu Kusikiza mezoweya. 239. Ṁisowe yaṭaonroka Na wewe uṭaafika Kuliko kufedheheka Na izarani kungiya. 250. Kauli yangu ṭamaṭi Ni zenu hizi baiṭi Wavulana mabanaṭi Nyoṭʰe nawakusuḍiya. 240. Lakini nakukumbusha Kiswa cha Nana Aisha Vurumai walizusha Mawi wakamzuliya. 241. Waliyonena ni wengi Wakafanya na magengi Na zikao za mitingi Maḍina zikayeneya. Ṁisho wa uṭeṇḍi. Mtunzi Usṭadh Mahmouḍ Ahmaḍ Abḍulqaḍir (MAU) Lamu-Kenya ṁ t ṭarehe February 2005. 242 Kaṭ Ni uvumi walitiya. Umesawiḍiwa a haṭi hizi kulingana na kiSwahili Asiliya na Mohameḍ Karama, University of Kabianga, Kericho; Usṭadh Mahmouḍ Ahmaḍ Abḍulqaḍir (MAU); na Mbarak Abdulkaḍir wa Lamu, Kenya, leo 05/06/2023. Ṭanbihi: Haṭ enye majaribiyo baḍo zahiṭaji marakibisho kukiyaṇḍika kiSwahili kiṭ avo. 243. Ṁangaliye na Mtumi Alikuwa haaṭami Aliziwiya ulimi Mpaka wahayi kuya. 244. Yaṭaka mno hadhari Katika hizo khabari Siwe mpesi kukiri Yambo ukilisikiya. 245. Ṭafiṭi ṭʰafiṭi sana Haṭa shaka uwe huna Nripo hapo lako nena Bila sababu kutaya. 246. Hapa sasa niṭakoma Wala yoṭʰe sikusema Lakini ukiyaṇḍama Haya ṭakusaiḍiya. 247. Niya na yangu dhamiri ṇḍ . Maana ya maneno ya kiAmu a kiSwahili Sanifu kiAmu Maana kiSanifu kiAmu Maana kiSanifu ubeti ubeti 15 Hakumbiriya Hakutupa 92 Kaṭiṭi Kidogo 18 Ina Jina Bubwi Bubu 21 Jongo Ya makosa Ḍuko Kiziwi 22 Sheshegi Vishindo 94 Ṭamuukiya Utamrukia/kemea Gogi Kuvuka mpaka kufikia kudharau 105 Una ṁako Ana hamu 27 Tutu Mahindi/ngano 118 Makawaṇḍa Uwanja Ufu Nazi 120 Mezolinena Alilolisema 28 Wangakazaniya Hata wakishikilia 125 Kuṭoṭapasa Kutosema 29 Kuṭoeleya Kutoelewa 126 Sini Chombo cha China 39 Usimliche Usimuache 130 Aso tʰaa ana ṭʰomomo Aso hili ana lile Mche Muogope 132 Sangaliye Usitizame 43 Maḍaka Baraza nje ya nyumba 135 Kujeresha Kutia haya Kuṭoṭungiya Kutochungulia 139 Kishogo Kisogo 46 Toto Ndogo 146 Mewaganya Yamewaelemea 54 Weṇḍe Wenzake 149 Igegese Jilete polepole 72 Ṭaqiṭiri Ugumu, ubakhili Nyangwani Jangwani 73 Ipambe Jipambe 158 Mṭaro Sababu ya kutafuta ugomvi 75 Iweke Jiweke 175 Umehiṭi Umekosa 81 Huṭuṇḍa Huchunza Kiḍarika Ikigusika 180 Tʰotʰotʰo Matope Ṭʰeṭe Cheche 188 Kushaliki Kusairi/kukarabati 203 Umeteya Umeteleza 210 Dewe Khasara 211 waḍengene Wamedangana 213 Hanaṇḍi Hana njiya 227 Ṭewengo Matatizo 233 Kupija mbiya Kupiga mbiyu/ kutangaza 239 Penyenye usiyapisa Upenyo usitoe 237 Usono Kupumzika