Karama, Mohamed
(East African Journal of Swahili Studies, 2021)
Miji yot̪ʰe ulimwenguni imepawa majina ili kuitambulisha. Majina haya ni hazina
ya mapisi na ut̪amad̪uni kuwahusu wakaaji wa miji hiyo. Namna inavoitwa, fasiri
na fasili za majina hayo husema mengi kuhusu maana na nyusuli ...