Karama, Mohamed
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)
Lahaja za kiAmu, kiMvit̪a zafa, na lahaja nyenginezo za kiSwahili yasemekana
zishakufa. Makala haya yanaonesha kuwa usuli wa matatizo haya ni mapungufu
ya juhud̪i za kukisanifisha kiSwahili wakat̪i wa ukoloni. Vigezo va ...