Karama, Mohamed; Chimerah, Rocha; Mutiso, Kineene
(Jarida la Afrika mashariki la masomo ya Kiswahili, 2021)
Fikra iliyomo katika mawand̪a ya fasihi ya Kiswahili ni kuwa ut̪end̪i ni maelezo
marefu ya mapisi ya jamii kiushairi. Makala haya yanat̪aka kuonesha kwamba
si t̪end̪i zot̪ʰe zenye madhumuni haya. Kupitiya Ut̪end̪i wa ...